sw_tn/1sa/01/11.md

346 B

Taarifa ya jumla:

Maombi ya Hana kwa Bwana yanaendelea.

teso la mjakazi wako

Hii yaweza kuwa na maana ya 1) Hana kutokuwa na uwezo wa kuwa mjamzito au 2) namna ambavyo Penina anamdhihaki.

Unikumbuke

Hili ni ombi maalumu kwa Mungu. Mungu anajua yanayompata Hana hajasahau.

Usimsahau mjakazi wako

Hii ina maana sawa na "unikumbuke."