sw_tn/1sa/01/05.md

191 B

Hana

Hili ni jina la mwanamke.

Hasimu wake alimchokoza sana.

Mke mwingine alimdhihaki na kumuaibisha Hana.

Amelifunga tumbo lake

"amemfanya kuwa mgumba" au "amezuia kupata mimba."