sw_tn/1sa/01/01.md

213 B

Rama Msufi

Hili ni jina la kijiji kidogo kilichokuwa kilometa nane mashariki mwa Yerusalemu.

Elikana ... Yerohamu ... Elihu ... Tohu ... Sufu

Haya ni majina ya wanaume.

Penina

Hili ni jina la mwanamke.