sw_tn/1pe/04/17.md

466 B

nyumba ya Mungu

Neno hili linaelezea waumini, wale ambao wanamfuata Mungu kupitia Kristo.

Nini kitatokea kwa hao wasioitii injili ya Mungu?... nini kitakuwa kwa mtu asiye haki na mwenye dhambi?

Petro anatumia maswali kuwakumbusha watu jinsi itakavyokuwa vigumu kwa wenye dhambi wakati Mungu akiwahukumu. "...itakuwa ni matokeo ya kutisha kwao ambao hawaitii injili ya Mungu... kisha mtu asiye haki na mwenye dhambi atakutana na mateso ya kutisha wakati ujao"