sw_tn/1pe/04/03.md

474 B

ufisadi, nia mbaya, ulevi, ulafi, sherehe za kishenzi, na ibada za sanamu zenye machukizo

"dhambi za zinaa, tamaa mbaya, ulevi, sherehe za kinyama na ulevi, na ibada za sanamu ambazo ni chukizo kwa Mungu"

walio hai na waliokufa

Inamaanisha watu wote kama bado wako hai au kama wamekufa.

injili ilikuwa imehubiriwa

"Kristo aliihubiri habari njema"

ingawa wamekwisha kuhukumiwa katika miili yao kama wanadamu

"Ingawa Mungu aliwahukumu wakati walikuwa bado hai"