sw_tn/1pe/03/07.md

405 B

Kwanjia ile ile

Kama vile wakezenu wanapaswa kukuheshimu.

kulingana na elimu kama mpenzi dhaifu wa kike

"tambua kwamba mwanamke ni mpenzi dhaifu"

Fanya hivi

Hapa "hivi" inahusu njia ambazo waume wanapaswa kuwatendea wake zao. "Heshimu amri hizi."

ili kwamba sala zako zisizuiliwe

Ili "kuzuia" ni kuzuia, au kuzuia sala za mtu kutotimizwa. AT "ili kwamba hakuna kitu kinachozuia sala zako."