sw_tn/1pe/02/24.md

32 lines
796 B
Markdown

# Yeye mwenyewe
Hii inamaanisha Yesu kwa msisitizo.
# Alichukua dhambi zetu
Njia ambazo Yesu alikubali lawama na adhabu kwa dhambi za watu wengine.
# Dhambi zetu
Tukio lolote la "yetu" na "sisi" linamaanisha Petro na waumini anaowandika.
# Katika mwili wake kwenye mti
Hii inamaaniasha wakati watu walipo muweka Yesu msalabani.
# Kwa mateso yake umeponywa
"Mungu amekuponya kwa sababu watu walimwumiza Yesu."
# Ninyi nyote
Neno "Nyinyi" linamaanisha waumini Petro anawaandika.
# mulikuwa mukitembea mbali kama kondoo muliopote.
Petro anawafananisha waumini na kupoteza kondoo kwa kutokuwa na upendo bila Kristo.
# lakini sasa mumerejea kwa mchungaji na mlezi wa nafsi zenu
Kama vile kondoo watarejea kwa mchungaji wao, waumini pia wamerejea kwa Yesu ambaye hutoa na kuwahifadhi.