sw_tn/1pe/02/21.md

232 B

Kwa hiyo uliitwa

Mungu amekuchagua wewe kuteseka kwa ajili yake.

Hakuna udanganyifu wowote uliopatikana kinywa chake

"Wala hakusema uongo."

Alipokuwa akitukanwa, hakuweza kumtukana.

Watu walipomtukana Yesu, hakuwaadhibu.