sw_tn/1ki/22/24.md

12 lines
252 B
Markdown

# Je, yule roho wa BWANA alitokaje kwangu ili aseme na wewe?
"Usidhani kwamba roho wa BWANA ameniacha ili anene na wewe!"
# Tazama
"Sikiliza" au "Uwe mwangalifu kwa kile ninachotaka kukuambia"
# utatambua
"utajua kuwa ni nani anayetabiri ukweli"