sw_tn/1ki/19/13.md

16 lines
304 B
Markdown

# akaufunika uso wake kwa vazi lake
Akuficha uso wake kwa vazi lake" au"akaficha macho yake asimwone Mungu"
# lango
ule uwaziambao mtu huutumia kuingilia pangoni au kwenye chumba"
# Na sauti ikaja kwake
"Kisha akaisikia sauti"
# unafanya nini hapa? ... wanajaribu kuichukua roho yangu
Tazama 19:9