sw_tn/1ki/18/07.md

16 lines
276 B
Markdown

# Ndiye wewe bwana wangu Eliya?
"Eliya Bwana, umekuja!"
# bwana Eliya
Neno "bwana" limetumika kuonesha heshima
# Nenda umwambie bwana wako, 'Tazama, Eliya yuko hapa."
Neno "bwana" linamaanisha Ahabu
# Tazama
Neno "Tazama" hapa linonesha msisitizo wa kile kinachofuata.