|
# tuwaokoe hawa farasi na nyumbu ... ili tusiwakose wanyama wote
|
|
|
|
"tuzuie kifo kwa farasi na nyumbu hawa"
|
|
|
|
# Ahabuakaenda njia yke mwenyewe na Obadia naye akaenda njia yake
|
|
|
|
Ahabu akaongoza Kikosi kuelekea upande mwingine na Obadia akaongoza kikosi kuelekea upande mwingine.
|