sw_tn/1ki/16/31.md

12 lines
407 B
Markdown

# Ikawa kidogo tu kwa Ahabu ayaendee makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati
Kama vile kutenda dhambi sawa na zile alizofanya Yeroboamu mwana wa Nebaati hazimkutosha Ahabu"
# Ikawa kidogo tu
"kitu ambacho hakina umuhimu"
# akamwabudu baali na akamsujudia
Virai hivi viwili vinamaanisha jambo lilelile. Kirai cha "akamwabudu" kinafafanua kile kitendo cha kuabudu ambacho watu walifanya wakati wa kuabudu.