sw_tn/1ki/15/20.md

8 lines
195 B
Markdown

# Ikawa Baasha aliposikia
Kirai hiki kimetumika hapa kuonyeha tukio kubwa kwenye habari. Waweza kutumia neno lililo kwenye lugha yako.
# akaacha kuijenga
"Aliwazuia wafanyakazi wake kujenga"