sw_tn/1ki/14/27.md

12 lines
208 B
Markdown

# Mfalme Rehoboamu akatengeneza ngao
"Wafanyakazi wa mfalme Rehoboamu walitengenza ngao"
# mahali pake
"mahali pa ngao za dhahabu"
# na akazikabidhi kwa wakuu wa walinzi
"akawapa kuwa jukumu la walinzi"