sw_tn/1ki/12/25.md

20 lines
489 B
Markdown

# Yeroboamu akaijenga Shekemu
"Wafanyakazi wa Yeroboamu wakaijenga Shekemu"
# akafikiri moyoni mwake
"mwenyewe akafikiri"
# nyumba ya Daudi
"wafalme waliotokana na Daudi"
# Kama hawa watu wataenda
Neno "watu hawa" linamaanisha wale watu wa makabila kumi ya Waisraeli wa kaskazini.
# basi mioyo ya hawa watu itarudi tena kwa bwana wao, kwa Rehoboamu mfalme wa Yuda ... na kurudi kwa Rehoboamu mfalme wa Yuda
Virai hivi vina maana moja ambavyo vimetumika pamoja kuonesha msisitizo.