sw_tn/1ki/12/22.md

20 lines
482 B
Markdown

# Neno la Mungu lkamjia
"Mungu alisema neno lake"
# mtu wa Mungu
Hili jina lingine la nabii, "Nabii"
# kwa nyumba yote ya Yuda na Benjamini
"watu wote wa kabila Yuda na Benjamini"
# ndugu zako watu wa Israeli
Neno "ndugu" na "watu wa Israeli" vyote vivnamaanisha wanaume wa makabila kumi ya kaskazini mwa Israeli na vinatoa msisitizo wa uhusiano wa kifamilia kati yao na Rehoboamu.
# kwa kuwa jambo hili nimelisababisha mimi
"Kwa sababu mimi ndiye niliyelifanya litokee"