sw_tn/1ki/12/08.md

8 lines
238 B
Markdown

# wakasimama mbele yake
"waliomshauri" au "waliohudhuria kwake"
# ifanye nyepesi nira ambayo baba yako alituwekea"
"usitutenee kwa ukatilii kama baba yako alivyotutendea" au "usitushurutishe kufanya kazi kama baba yako alivyotufanyia"