sw_tn/1ki/12/01.md

8 lines
168 B
Markdown

# Israeli yote walikua wanaenda
"Wanaume wote wa Israeli"
# Ikatokea kuwa
Neno hili linaonyesha mwanzo wa habari mpya. Waweza kutumia neno lililo katika lugha yako.