# wote ulimwenguni
"watu kutoka sehemu zote"
# ilitafuta uwepo wa Sulemani
"walitafuta kumtembelea Sulemani"
# ambayo Mungu alikuwa ameweka katika moyo wake
"ambacho Mungu alikuwa ameweka katika akili zake" au "ambacho Mungu alikuwa amempatia"