sw_tn/1ki/10/16.md

28 lines
466 B
Markdown

# Mfalme Sulemani alitengeneza
"wafanyakazi wa mfalme Sulemani walitengeneza"
# ngao kubwa mia mbili
"ngao 200 kubwa"
# shekeli mia sita za dhahabu
Shekeli moja ina kipimmo ch a gramu 11. "Ni kama kiasi cha kilo 6.6 cha dhahabu"
# shekeli mia sita
ni sawa na kilo tatu
# ngao mia tatu
"ngao 300"
# Mane tatu za dhahabu
Mane moja ni kipimo kilicho karibu sawa na gramu 600."sawa na kiasi cha kilo 1.8 za dhahabu"
# ikulu ya mwitu wa Lebanoni
Tazama 7:1