# Akatengeneza
neno "aka" linamaanisha Hurama na wasaidizi wake.
# na vyombo vingine vyote
"zana zingine zote"
# shaba iliyosuguliwa
shaba inayong'aa na kuaksi mwanga