sw_tn/1ki/07/25.md

24 lines
483 B
Markdown

# Bahari
Bahari ya kutengeneza ya shaba
# Bahari ilikaa juu ya
"ilikuwa juu ya"
# Ile bahari iliwekwa juu yao
"Wafanyakazi wa Huramu walliweka bahari juu ya wale makiasai wa shaba
# pande zao zote za nyuma
Hii ni sehemu ya nyuma ya mwili wa mnyama mwenye miguu minne
# na ukingo wake ulikuwa kama ukingo wa kikombe, kama ua l a yungi
"Huramu aliitengeneza ukingo ukafanana n a ukingo wa kikombe, ukapinda kwa nje kama ua"
# bathi elfu mbili
bathi moja ni sawa na lita 22.