sw_tn/1ki/06/31.md

16 lines
212 B
Markdown

# Sulemani akatengeneza
"Wafanyakazi wa Sulemani walitengeneza"
# vizingiti
sehemu ya juu inayoshikilia miimo ya mlango
# kwenye pande tano
mashikio yaliyo katika pande za milango
# Akasakafia
"akafunika"