sw_tn/1ki/06/01.md

20 lines
478 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Maandiko yanaorodhesha vipimo vya hekalu
# Sulemani akaanza kujenga
Sulemani hakujenga pekee yake; watumishi wake ndio waioifanya hiyo kazi
# wa 480 ... wa nne
wa 480 ... wa4
# katika mwezi wa Zivi, ambao ndio mwezi wa pili
"Zivi" ni jiina la mwezi wa pili wa kalenda ya Kihebrania. Mwezi huu uko kati ya sehemu ya mwisho wa mwezi wa Aprili na mwanzo wa sehemu ya mwezi Meyi wa kalenda ya Kimagharibi.
# dhiraa
Dhiraa moja ni sawa na sentimenta 46