sw_tn/1ki/05/09.md

16 lines
290 B
Markdown

# Taarifa kwa uumla
Mfalme Hiramu anaendelea kumjibu Hiramu
# nami nitaileta katika makundi
"kuifunga kwa pamoja ili iweze kuelea kwa makundi
# Nitaigawa pale
"nitayafungua hayo makundi ya miti"
# Utafanya kile ninachohitaji
"Unaweza kufanya kile ninachotaka" au " unaweza kunilipa"