sw_tn/1ki/03/01.md

16 lines
268 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Sulemani anamwoa mwanamke wa Kimisri
# Sulemani akawa na ushirikiiano ... na Farao mfalme wa Misri
Sulemani anaanzisha uhusiano na Farao
# nyumba ya BWANA
"hekalu"
# mahali pa juu
"mahali ambapo watu huabudu na kufanya makafara kwa miungu"