sw_tn/1ki/01/35.md

28 lines
856 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Daudi anaendelea kuongea kwa niaba ya Sulemani kuwa yeye ndiye atakayekuwa mfalme
# atakuja kukaa kwenye kiti changu
Tazama 1:13
# Na iwe hivyo
Walikubali na kufanya kama vile mfalme Daudi alivyosema
# BWANA, Mungu wa mafalme bwana wangu, alithibitishe hilo
"Bwana wangu mfalme, BWANA, Mungu wako na alithibitishe"
# alivyokuwana mfalme bwana wangu
"amekuwa na wewe, bwana wangu mfalme, kwa hiyo"
# na kuifanya enzi yake kuwa kubwa kuliko enzi ya bwana wangu Daudi.
neno "enzi" linamaanisha 1) mtu anayekaa kwenye kiti cha enzi. "kumfanya yule anayekaa kwenye kiti cha enzi kuwa mkubwa kuliko bwana wangu Daudi" au 2) ufalme ambao yule aketiye kwenye kiti cha enzi anatawala, au "kuufanya ufame wake kuwa mkubwa kuliko ufame wa bwana wangu Daudi"
# enzi ya bwana wangu Daudi
"enzi yako, bwana wangu mfalme Daudi"