# Kwa hiyo wakatafuta
"Kwa hiyo watumishi wa mfalme wakatafuta"
# Katika mipaka yote ya Israeli
"katika nchi yote ya Israeli"
# Abishaagi Mshunami
"Abishagi kutoka Shunami"
# Mshunami
Mtu kutoka katika mji wa Shunami
# mfalme
Mfalme Daudi