sw_tn/1jn/05/01.md

24 lines
657 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yohana anaendelea kuwafundisha wasomaji wake kuhusu upendo wa Mungu na upedo ambao waaminio wanapaswa kuwa nao kwa sababu mekuwa na hali hii mpya kutoka kwa Mungu
# amezaliwa na Mungu
"ni mwana wa Mungu"
# Kwa hili twajua kwamba twawapenda watoto wa Mungu: tunapompenda Mungu na kutekeleza amri zake.
"Tunapompenda Mungu na kutenda atuamruyo, ndipo tunatambua kwamba tunawapenda watoto wake"
# Hivi ndivyo tunavyompenda Mungu kwamba twazishika amri zake.
"Kwa sababu tunapofanya atuamruyo, hilo ndilo pendo la Mungu"
# Na amri zake ni nyepesi.
"Na anayotuamru siyo gumu"
# nzito
"lenye kuponda," "lenye kukandamiza" au "gumu"