sw_tn/1co/07/15.md

12 lines
301 B
Markdown

# Kesi kama hiyo,kaka au dadahafungwi katika viapo vyao.
Kwa kesi hiyo,ndoa ya aaminiye makubaliano hayaendelei"
# Unajuaje, mwanamke anaweza kumwokoa mme wake?
"hujuwi kama utamwokoa mwanaume asiyeamini."
# Unajuaje, mwanaume anaweza kumwoka mke wake
"Haujuwi kamautamwokoa mkewako asiyeamini."