sw_tn/1co/02/10.md

16 lines
551 B
Markdown

# Hivi ni vitu
Paulo anazunguza kuhusu uhalisia wa Yesu na msalaba. mambo ambayo hakuyaeleza kwa kina 2:8 anayafafanua sasa.
# Nani ajuaye mawazo ya mtu isipokuwa ni roho ya mtu katika yeye?
Paulo alitumia swali kufafanua kwamba hakuna yeyote ajuaye ni nini mtu anawaza isipokuwa mtu mwenyewe. "Hakuna yeyoteajuaye ni nini mtu anawaza isipokuwa roho ya mtu."
# Roho ya mtu
Hii inaonyesha ndani ya mtu,asili ya kiroho yeye
# Hakuna yeyote ajuaye vitu vya ndani ya Mungu isipokuwaRoho wa Mungu
"Roho wa Mungutu ajuaye vitu vya ndani ya Mungu"