sw_tn/1co/02/03.md

12 lines
269 B
Markdown

# Nilikuwa pamoja nanyi
"Nili kuwa nina watembelea
# Katika udhaifu
Inawezekana maana ni 1) "udhaifu wa kimwili" au 2) "Kujisikia kupungukiwa."
# maneno ya ushawishi
Ni maneno yanayoonekana kuwa ya busara, na msemaji anategemea watu wafanye anachosema au waamini.