forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
813 B
Markdown
20 lines
813 B
Markdown
# Yuko wapi mtu mwenye busara?Yukowapi msomi? Yuko wapi mpingaji wa dunia hii?
|
|
|
|
Paulo anafafanua kwamba watu wenye busara ya kweli hawatapatikana popote. " ukiwalinganisha na busara inayopatikana kupitia Injili , hakuna watu wenye busara, hakuna wasomi, hakuna waleta hoja!"
|
|
|
|
# Msomi
|
|
|
|
Ni mtu aliyefahamika kuwa na mafunzo ya hali ya juu.
|
|
|
|
# Mpingaji
|
|
|
|
Ni mtu anayeleta hoja ya kupinga kulingana na anachojua au ni mtu mweye ujuzi wa kufanya mabishano mbalimbali
|
|
|
|
# Mungu hakuigeuza hekima ya dunia hii kuwa ujinga?
|
|
|
|
Paulo anatumia swali hili kufafanua kile Mungu amefanya kinyume na hekima ya dunia hii. "Mungu ameonesha kuwa kila kitu kilichokuwa ni hekima kwa watu kilikuwa ni upumbavu kabisa"
|
|
|
|
# wale wanaoamini
|
|
|
|
Inaweza kumaanisha: 1)Wote wanaoamini ujumbe wa Injili" au 2)wote wanaoamini katika Kristo."
|