sw_tn/1co/01/17.md

8 lines
659 B
Markdown

# Kristo hakunituma mimi kubatiza
Hii inamaanisha kwamba ubatizo halikuwa lengo la msingi la Paulo katika huduma yake.
# maneno ya hekima ya kibinadamu...msalaba wa Kristo usionekane kuwa kitu kisichokuwa na nguvu
Paulo anazungumza kwa " maneno ya hekima ya kibinadamu" ni kama vile walikuwa watu, na msalaba ulikuwa kama chombo, ambacho Yesu aliweka nguvu yake ndani ya chombo hicho. Hii ilimaanisha kuwa " maneno yanayotokana na hekima ya kibinadamu ... yasije kuondoa nguvu ya msalaba wa Kristo" au " maneno ya hekima ya kibinadamu... yasiwafanye watu washindwe kuamini ujumbe kuhusu Yesu na kuanza kujidhania kuwa wao ni wamuhimu zaidi kuliko Yesu.