sw_tn/1ch/29/03.md

12 lines
187 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Daudi anaendelea kuongea na watu kuhusu vitu anavyo toa kwa ajili ya hekalu.
# talanta elfu tatu
"talanta 3,000"
# dhahabu kutoka Ofiri
dhahabu bora na ya gharama