sw_tn/1ch/28/08.md

16 lines
384 B
Markdown

# Taarifa za jumla:
Daudi anaendelea kuongea na Waisraeli.
# Kisha sasa
Hii ina ashiria kwamba Daudi ameanza awamu mpya katika hotuba yake.
# mshike na kufanya
Maneno haya "kufanya" yanamaanisha kitu kimoja na "mshike" Kwapamoja maneno yanahamasisha umuhimu wa kufanya kile Mungu alicho amuru.
# watoto wenu baada yenu
" watoto wenu ambao watachukua nafasi zenu baada ya kufa"