# maafisa
Ona jinsi ulivyotafsiri hii 24:4
# kazi walizo pangiwa
Kazi inayohitaji kurudiwa, kwa mfano kila siku au kila mwezi.
# wa maelfu na mamia
"1,000s na wa 100s"
# mali
Hili neno moja linamaana ya vitu na ardhi mfalme alivyomiliki.