|
# maelfu na mamia
|
|
|
|
"zaidi ya wanaume 1,000 na zaidi ya wanaume 100"
|
|
|
|
# vitu walivyo vichukuwa
|
|
|
|
vitu jeshi linavyo chukuwa baada ya ushindi
|
|
|
|
# Kishi ... Neri ... Zeruia
|
|
|
|
Haya ni majina ya wanaume
|
|
|
|
# Kila kitu kilicho tengwa
|
|
|
|
"vitu vyote viongozi walivyo vitenga"
|