sw_tn/1ch/26/17.md

28 lines
387 B
Markdown

# Walawi sita
"Walawi 6"
# wanne walipangwa
"wanaume 4 kila siku"
# wawili
"wanaume wa 2" au "wanaume 2 kwa zamu"
# Katika ua kuelekea magharibi wanne walipangwa
"wanaume wa 4 walilinda ua la magharibi"
# wanne barabarani, na wawili katika ua
Wanaume wa 4 walilinda barabara, na wanaume wawili walilinda ua"
# Palijazwa na
"Walikuwa"
# Merari
Ona jinsi ulivyo tasfiri 26:10