sw_tn/1ch/26/10.md

16 lines
422 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Hii inaendeleza orodha ya walinzi wa lango iliyo anza
# Hosa ... Merari ... Shimiri ... Hilika ... Tebalia ... Zekaria
Haya ni majina ya wanaume.
# wa pili ... watatu ... wanne
Hii yaonyesha utaratibu wana walivyo zaliwa. "namba 2 ... namba 3 ... namba 4" au "anaefuata" kwa kila moja.
# Wote wa wana wa Hosa na ndugu walikuwa kumi na tatu kwa idadi
"Hawa walikuwa wana 13 wa Hosa na ndugu zake"