sw_tn/1ch/20/02.md

12 lines
246 B
Markdown

# Taji liliwekwa kichwani mwa Daudi
"Wanaume wa Daudi wakaeka taji kichwani kwake"
# akaleta mali
vitu vya thamani vilivyo chukuliwa vitani.
# Daudi aliwataka watu wote wa mji
Watu wanatajwa kwa miji yao. "Daudi aliwataka watu wote wa miji"