sw_tn/1ch/10/04.md

12 lines
214 B
Markdown

# unichome nao
"niue nao"
# Lasihivyo, hawa wasio tahiriwa watukuja
Maelezo kuhusu "wasio tahiriwa" hapa ni kashfa, ikihashiria kuwa hawa watu ni wageni na hawana mahusiano na Mungu.
# kuangukia
"alijiua nao"