# Baadhi yao
"Baadhi ya askari"
# walihesabu makala zilizo ingizwa ndani na zilizo tolewa nje
"walihesabau makala watu waliotoa nje kutumia, na wakahesabu makala watu walipo rudisha"
# waliwekwa kutunza
"kutunza" au "kujali"