sw_tn/1ch/07/20.md

8 lines
209 B
Markdown

# Eza na Eleadi waliuawa na wanaume wa Gati, wenyeji wa nchi
"Wanaume wa Gathi, wenyeji wa nchi, waliwaua Eza na Eleadi"
# walipoenda kuiba mifugo yao
"ndugu walienda kuiba mifugo kutoka kwa watu wa Gathi"