|
# Kelubu ... Shuha ... Mehiri ... Eshtoni ... Bethi - Rafa ... Pasea ... Tehina
|
|
|
|
Haya ni majina ya wanaume.
|
|
|
|
# Tehina, ambaye alianzisha mji wa Nahashi
|
|
|
|
"Tehina, mwanzilishi wa mji wa Nahashi"
|
|
|
|
# Nahashi
|
|
|
|
Hili ni jina la mji.
|
|
|
|
# Reka
|
|
|
|
Hili ni jina la sehemu.
|