sw_tn/1co/06/16.md

13 lines
336 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hamjui kwamba
" nataka niwakumbushe kuwa..."
# anayeungana na kahaba amekuwa mwili mmoja naye
" mwanaume anayeunganisha mwili wake kwenye mwili wa kahaba , miili yao inakuwa mwili mmoja"
# Lakini anayeungana na Kristo amekuwa roho moja na yeye
" Bwana anapounganisha roho yake kwenye roho ya mtu, roho zao zinakuwa roho moja."