sw_tn/rom/07/22.md

20 lines
579 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# utu wa ndani
Sehemu ya mtu inayobaki baada ya mtu kufa
# Lakini naona kanuni ya tofauti ndani ya viungo vya mwili wangu. Inapigana dhidi ya kanuni mpya kwenye akili yangu. Inanichukua mimi mateka
"Mimi naweza tu kufanya kile ambacho utu wangu wa kale unachoniambia kufanya, sio kuishi kwa njia mpya ambayo Roho ananionesha mimi"
# kanuni mpya
Hii ni asili mpya ya kiroho iliyo hai.
# kanuni ya tofauti katika viungo vya mwili wangu
Hii ni asili ya kale, jinsi watu walivyo wanapozaliwa.
# kanuni ya dhambi iliyo ndani ya viungo vya mwili wangu
"asili yangu ya dhambi"