sw_tn/rev/20/05.md

16 lines
392 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wafu waliobaki
"watu wote wengine waliokufa"
# miaka elfu ilipokuwa imeisha
"mwisho wa miaka 1,000"
# Mauti ya pili haina nguvu juu ya watu hawa
Hapa Yohana anafafanua "mauti" kama mtu mwenye nguvu. "Watu hawa hawatapitia kifo cha pili"
# Mauti ya pili
"kufa mara ya pili." Hii inaelezwa kama adhabu ya milele katika ziwa la moto la 20:13 na 21:7. "kifo cha mwisho ni ziwa la moto."