sw_tn/php/01/07.md

20 lines
470 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ni haki kwangu
"ni sahihi kwangu" au "ni vizuri kwangu"
# nimewaweka moyoni wangu
"ninawapenda sana"
# mmekuwa washirika wenza wa neema
"mmefanyika washiriki wa neema pamoja nami" au "kushiriki katka neema pamoja"
# Mungu ni shahidi wangu
"Mungu anajua" au "Mungu anafahamu"
# katika undani wa huruma ya Kristo Yesu.
Kirai "katika undani wa huruma" inaweza kutafsiriwa pamoja na kitenzi "upendo." "na ninawapenda kama Yesu Kristo alivyotupenda mno sisi sote"